Maombi yangu kwako unapoianza wiki hii:
Mungu akupe kiu ya kumtafuta na kulisoma neno lake.
Mungu akuwezeshe kumjua zaidi na zaidi.
Mungu akayajibu maombi yako.
Mungu akupe upendeleo wa kiMungu (Devine favour).
Mungu akapigane na adui zako.
Nawe uwe ni mwenye ushindi, furaha na ujasiri wakati wote.

Pokea katika jina la Yesu!