Mkabidhi Bwana Yesu Maisha Yako

GAL. 6:7-8
“Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna. Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.”

Mungu huangalia moyo uliopondeka, uliotayari kumfuata na kulishika neno lake. Ukitaka kuishi maisha ya ushindi na mafanikio lazima ukubali kumpokea Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako. Acha kuishi maisha ya michanganyo, utavuna ulichokipanda.

RUM. 10:9-11
“Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.”

Amua leo kumkiri Yesu na kumpa maisha yako ayatawale. Kwa msaada zaidi wa kiroho usisite kuwasiliana 0784598375. Ubarikiwe.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s