Fanyika Baraka

Shalom
Mungu akikubariki usisahau kuwabariki wengine. Unapipata uwezo wa kubadili mlo kila siku mara tano kwa siku, kubadili nguo kila siku, unaishi kwenye nyumba ya umeme na unamahitaji yako yote, tambua kuwa kila siku kuna watu wanalala na njaa, wanakosa hela ya kutibiwa, hawana mavazi ya kuwakinga, hawana mahali pazuri pa kulala na wala hawana hela ya kuwapeleka watoto shule.

Fanyika baraka kwa wenye uhitaji. Sio lazima awe ndugu yako, rafiki yako au mtu wa karibu. Tambua kuna mtu mahali anahitaji msaada wako na omba Mungu akufunulie ni nani anahitaji msaada wako na uwe mwaminifu kumsaidia. Kumsaidia mtu haimaaishi wewe huna mahitaji bali upo tayari kutumiwa na Mungu kumbariki mtu mwingine. Hakika Mungu hatasahau tendo hilo na atakubariki na kukuzidishia.

Kwa mwezi tunatumia hela nyingi sana kuchangia harusi na sherehe lakini mara nyingi hatutumii hela yoyote kuwasaidia wenye mahitaji. Toa na Mungu atakuzidisha, iwe kumsaidia mtaji, kumlipia mtoto ada, kummunulia chakula, kumtafutia kazi, kumpa mavazi n.k.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s