Tabia za Mtu Asiye na Shukurani

1. Hana furaha maana mara nyingi ni mtu mwenye uchungu na mawazo hasi.
2. Huangalia yale ambayo hayapo sawa kwenye maisha yake na kulalamika kuyahusu.
3. Hulalamika juu ya kazi yake, mahali anapoishi, watu wanaomzunguka na karibu kila kitu.
4. Hufukuza marafiki.
5. Huwaza kuwa hawezi kufanya kitu chema hivyo hajiamini.
6. Huwalaumu watu wengine kwa yeye kukosa furaha.
7. Kila jambo linapoenda ndivyo sivyo katika maisha yake hujiona kama anaonewa.
8. Hujaribu kuwashawishi watu kuwa yeye yupo sawa ila waliomzunguka ndio wabaya.
9. Haoni uzuri wa jambo lolote yeye hungalia upande mbaya kwenye kila kitu.
10. Ni ngumu kufanikiwa maana hukosa uvumilivu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s