Kuombeana

Tunavyoendelea na wiki ya kumtafuta Mungu, leo no siku ya kuombeana. Tunafahamu kuwa kwakweli kila mmoja anapenda kumuishia Mungu lakini majaribu ni mengi. Leo kila mmoja aliyetayari kuombewa na kumuombea mwingine accoment jambo lolote hapa na kisha utamuombe Yule atakayekoment chini yako. Hakikisha unamuombea Mungu amsaidie aishi maisha matakatifu, ya kumpendeza na amwezeshe kulishika neno lake.

MIK. 6:8
“Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako!”

Advertisements

3 thoughts on “Kuombeana

  1. Bwana Asifiwe,wakati nikiombea wenzangu na mimi mniombee kibali kwa Mungu niweze kupata mtoto katika ndoa yangu. Amen..

  2. Shalom wapendwa mimi mniombee niwezeshwe ili niweze kusimama ktk kusudi la Mungu.

  3. Shalom watumishi,mimi mniombe Bwana aniwezeshe kuwa mwombaji na kuishi kwenye kusudi lake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s