Mtafute Bwana Atakufanikisha

Bwana anatuwazia yaliyo mema na yenye kutufanikisha. Anachotaka wewe ufanye ni kumtafuta kwa moyo wako wote. Anataka kuiona bidii yako katika kumtafuta, kwenye maombi, kusoma biblia, kwenda kanisani na kuyashika yote aliyokuamuru. Mambo mengi hayatokei katika maisha yetu sababu tupo mbali na Mungu. Tawi haliwezi kuzaa matunda likiwa mbali na mzabibu na Bwana Yesu ni mzabibu nasi ni matawi. Yatupasa kushikamana naye ili tuweze kuwa na maisha yenye mafanikio.

YER. 29:12-14
“Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka.”

Advertisements

One thought on “Mtafute Bwana Atakufanikisha

  1. bwana yesu asifiwe. Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako ambaye amekupa wazo ili uweze kutupa neno la faraja katika siku za leo. Binafsi nimebarikiwa sana na maneno haya kutoka kwenye kinywa cha mungu mwenyewe. Basi mungu atusaidie ili tuweze kumkaribia yeye siku zote. Naamin ktk maneno haya tutauona mkono wa bwana ukitenda makuu mengi sana kwa ajili yetu. Amen

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s