Maombi Kwa Ndoa Zetu

Ndoa nyingi zinapitia majaribu mengi sana. Yani kila upande wanandoa wanalia wengine hawana watoto, wengine ndugu hawawapendi, wengine hili na wengine lile. Ndoa ni mpango kamili wa Mungu na shetani siku zote anajaribu kuvunja na kuharibu ndoa maana anajua ndoa zikirahibika ni ngumu sana watu kumtumikia Mungu na kusimama na Mungu.

Ni jukumua kila mwanandoa kumtafuta Mungu kwa ajili ya ndoa yake. Mungu yupo tayari kukisaidia maana anasema tumwite naye atatuitikia. Kila mwanandoa lazima atafute kumtendea mwenzie mema siku zote bila kuangalia yeye anatendewa nini. Najua ni ngumu kumtendea mema mtu anayekutendea mabaya lakini ubaya haushindwi na ubaya bali tunaushinda ubaya kwa wema.

Siku hizi tano Kuanzia leo zitakuwa ni maalumu kwa ajili ya ndoa zetu. Kujifunza, kuelimika na kuomba kwa ajili ya kuboresha ndoa zetu na mahusiano yetu kwa ujumla.

One thought on “Maombi Kwa Ndoa Zetu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s