Mume Usimtawale Mke Bali Mshirikishe

Mwanaume usijisifie kwa sababu unamcontrol mke wako, hawezi kusema chochote kwako na maamuzi yako ndio final. Mke ni msaidizi, anakusaidia pale anapoona unahitaji msaada, anakushauri pale unapokuwa na maamuzi ya kufanya, mnashauriana kwa ajili ya kujenga familia na anakupa mawazo ya kuboresha maisha yenu.

Kumtawala mke hadi anashindwa kutoa mawazo yake, kukusaidia unapotaka kufanya maamuzi mabaya na kukushauri unapokosea ni kujiumiza mwenyewe. Na wanaume wengi wanaowatawala wake zao na kuwanyima uhuru wa kuongea kuhusu mambo ya familia hutafuta ushauri kwa ndugu zao na marafiki. Haiingii akilini unaacha kukaa na mkeo upange mipango ya maendeleo na kusikia ushauri wake unaenda kusikiliza ushauri wa marafiki ambao mambo yakiharibika wala hawahusiki na hayawagusi. Wanaume mjifunze kuwashirikisha na kuwasikiliza wake zenu.

Mke ni zawadi umepewa na Mungu, na unapoacha kumshirikisha unaidhulumu ndoa yako.

Advertisements

2 thoughts on “Mume Usimtawale Mke Bali Mshirikishe

  1. Mi nadhani hujafanya utafiti wa kutosha kwa taarifa watu wanaocontrol wenzi wao sana dunia ya leo ni wanawake kama unataka wakutanishe na waambie waandike uone wanaume ni waoga kuongea maana wataonekana wanaendeshwa na wake zao

  2. Hapo umenena mtumishi ukweli ndio huo wanaume wanatumia tu nguvu na utemi ile wanawake wanacontrol sana wanaume. Ni rahisi kukuta mke hataki kuona ndugu au rafiki wa mme na kweli hawatafiki. Fanya semina acha waandike uone

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s