Keki Kwa Bestman na Matron

Kwenye harusi nyingi keki hutumika kama asante na kuonyesha shukurani kwa watu mbalimbali kwa mchango wao kufanikisha harusi. Mara nyingi utakuta keki ina ngazi hadi kumi na hugawiwa kwa watu mbalimbali, wazazi, wachungaji, kamati, shangazi, wanakwaya na maranyingine best friends. Lakini ni nadra sana kuona keki inagawiwa kwa best man na matron. Huwa najiuliza ni kwanini maharusi husahau kuonyesha shukurani kwao hadharani kama wanavyoonyesha kwa wengine.

Matron na best man ndio wamehangaika mno maana kuanzia kutafuta nguo, viatu, ushauri mbalimbali, saluni na hadi kukufuta jasho lakini ni nadra sana kuona maharusi wakitambua kujitoa kwao angalau kw kuwashika mkono na kusema asante pale ukumbini. Kama bado hujafunga ndoa basi kumbuka kuweka keki ya matron na bestman siku ya harusi yako, moja tu inawatosha hata kama sio mume na mke watagawana tu.

Advertisements

One thought on “Keki Kwa Bestman na Matron

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s