Palilia Intimacy Kwenye Ndoa Yako…

Tulianza maombi juu ya ndoa siku ya ijumaa na leo tunahitimisha. Napenda kuongelea jambo hili tunapohitimisha maombi. Watu wanalalamika ndoa imepooza, tunaishi tu kama house mates, hisia zimekufa n.k. Tambua kuwa intimacy inajengwa na kupaliliwa, usidhani kuwa inatokea tu automatically. Mmeshaoana, inawezekana mna watoto imefika point mmesahau kuwa nyie ni wapenzi mmebaki tu mama na baba wa fulani.

Chukua hatua ya kupalilia intimacy katika ndoa yako. Unaweza dhani upendo umekufa kumbe tu ni wewe umeshindwa kuwa romantic kwa mwenzi wako. Je umewahi kuandaa special table for two kwenye nice restaurant au hotel na kumsuprise mwenzio? Lini uliandaa bedroom with fragrant candles for your spouse to enjoy? Mara ya mwisho kumsuprise mwenzio na kazawadi walau chocolate au chochote anachokipenda ni lini?

Sasa unapomalizia maombi, tumia ubunifu wako kurudisha intimacy kwenye ndoa yako kama imefifia na boresha kama mpo vizuri. Mambo madogo madogo ya kuonyesha kujali husaidia sana kuongeza intimacy sio siku nzima mnakwazana, kukasirishana na kulaumiana halafu mtegemee usiku automatically mtakuwa intimate…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s