Kuna Kusudi La Mungu Wewe Kuzaliwa..

Hakuna aliyezaliwa kupata shida. Hakuna aliyezaliwa ili ateseke. Hakuna aliyezaliwa alie siku zote. Hakuna aliyezaliwa afe kwa ukiwa. Mungu alipomaliza uumbaji aliangalia kila kitu akaona ni chema. Kabla hata hujazaliwa Mungu alikukusudia na mawazo yake na mipango yake kwetu ni mema daima, kutupa tumaini na maisha ya ushindi. Hakuna aliyezaliwa kwa bahati mbaya. Shetani asikudanganye, hata kama wazazi wako walikuambia hivyo, hakuna anayezaliwa bila Mungu kupanga kuwa awepo duniani.

Hii ni wiki nyingine, azimia kubadili fikira zako juu ya maisha yako. Tambua kuwa lipo kusudi la wewe kuishi, kupitia unayoyapitia na kuvuka katika viunzi unavyovuka. Usitamani safari ya mwenzio, kila mmoja Mungu anampitisha katika njia itakayomfikisha kwenye kusudi la Mungu na kumuandaa kwa ajili ya majukumu aliyozaliwa ayakamilishe. Safari ya Ruth haikufanana na Mariamu, safari ya Debora haikufanana na Abigail, Safari ya Daudi haikufanana na Paulo, wala safari ya eliya haikufanana na ya elisha, safari ya Stefano haikufanana na ya timotheo…

Kila safari na kila pito linalusudi lake, don’t waste your sorrows by complaining endlessly but use them to reach to your greatness by asking God what He wants you to do in midst of your sorrows and tribulations…

Have a blessed Week!!!

Advertisements

2 thoughts on “Kuna Kusudi La Mungu Wewe Kuzaliwa..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s