Mume Mjali Mkeo Kama mwanzo

Wanaume wanapokuwa wanatafuta mchumba, amemuona dada fulani akampenda yani atamuonyesha upendo wa hali ya juu, care za kutosha na kumchukulia, kumwelewa na kujitahidi kumfurahisha kila wakati. Yaani kipindi cha uchumba mdada anakuwa kama malkia vile, yani anajiona yupo dunia ya watu wawili, anatamani siku zifike wafunge ndoa ili waishi paradiso ya duniani.

Cha kusikitisha wanaume wengi wakishaoa wanajisahau, wanasahau kama mke bado ni yule binti waliyemchumbia, wanasahau kama mke anahitaji kujaliwa, kusikilizwa, care, romance na mengine kama hayo ili ndoa izidi kustawi. Tena akipata watoto ndio kabisaa, anaishi kama baba fulani, hata kwa mkewe anataka aonekane ndiye mwenye kauli ya mwisho, mkewe habembelezwi tena, kila kitu ni amri, amri tu. Ndoa inakosa msisimko na kubakia tu watu wanaohishi pamoja na kuheshimiana ila intimacy hakuna.

Kuna ugumu gani kuendelea kufanya yale uliyokuwa unayafanya kwa mkeo wakati wa uchumba? Kwanini siku hizi akisema au kutenda jambo usilolitaka unachukulia ni dharau wakatu mwanzoni ulikuwa unajaribu kuelewa sababu. Mke anahitaji kuona mume wake anakwenda extra mile kumfurahisha, na kumuonyesha upendo, wakati mwingine anaplay hard to get ili mume aweze kutumia ujuzi wake romantically kumpata ma sio kumkoromea na kumnunia.

In every woman there is a little girl who wants to be rescued, cared and romanced by her prince charming…!

Advertisements

One thought on “Mume Mjali Mkeo Kama mwanzo

  1. Shaloom wapendwa,binafc nimefurahishwa na mada hii nami nitachangia kidogo!Ujuwe wapendwa isue ya ndoa iko pana sana na hii inategemeana na pande zote mbili yaani mume na mke!mfano kama ndoa yenu mlioana kwa kufuata misingi ya KIMUMGU yaani Mungu mwenyewe ndiyo aliwaunganisha coz wengine huwa tunakosa subra ya majibu hivyo hujikuta tunakurupuka,so itakuwa mnafanana kwa kila kitu na kutakuwa na mapenzi ya dhati na c yakujilazimisha.Kama ni hivyo basi naamini kila mmoja akisimama kwenye nafac yake kutakuwa hakuna shida,tatizo ni pale kila mmoja anaposhindwa kucmama kwenye nafac yake ndipo tunaporuhusu mwanya shetani kufanya hila zake!mfano wakina mama wanapozaa huwa wanawajali saana watoto kuliko mume!vilevile wengine hata isue ya tendo la ndoa huwa kama dili utakuta anamnyima mume kwa vicngizio vicvyokuwa na kichwa wala miguu!So kwa ujumla kuna mambo mengi sana bt all in all wote yatupasa kucmama kwenye nafac zetu.Ni Kama wokovu vile huwezi kucmama kama huombi,husomi neno,hufungi,humruhusu RM afanye kazi n.k

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s