Jinsi ya Kuweka Malengo/ Mipango ya Mwaka – 2

Mfululizo huu ulianzia sehemu ya kwanza, soma kwanza ndipo uendelee na hii sehemu ya pili…

D:

WATOTO

1. Ni kwa namna gani unataka watoto wako wakue katika maeneo yafuatayo:
i. Kimwili
ii. Kihisia (emotionally)
iii. Kimahusiano
iv. Kiroho
v. Kielimu
2. Ni kwa namna gani watoto wako watasoma mwaka huu?
3. Uwezo wa watoto wako upo kwenye maeneo gani? Utawasaidie kuutumia vyema?
4. Udhaifu wa watoto wako upo wapi? Utawasaidiaje kukabiliana nao?

E: KIUCHUMI
1. Ni maendeleo gani unataka kuyaona mwaka huu katika uchumi wako?
2. Kipato chako cha sasa kikoje? Unawezaje kukiongeza?
3. Una madeni kiasi gani? Unawezaje kuyapunguza au kumaliza kabisa kwa mwaka huu?
4. Akauti yako ya akiba ikoje? Unawezaje kuweka akiba zaidi kwa mwaka huu?
5. Malengo yako ya kiuchumi ya muda mrefu ni yapi? Mwaka huu utafanya nini kuanza kuyatimiliza?
6.  Je huwa unatoa sadaka na zaka zote? Kama la mwaka huu unaanzimia kutoa kwa kiwango gani?
7. Mwezi huu tunaanza kufanya mambo gani katika safari ya kuboresha uchumi wako?

Advertisements

4 thoughts on “Jinsi ya Kuweka Malengo/ Mipango ya Mwaka – 2

  1. tuko pamoja
    naendelea kufuatilia mtiririko huu mpaka kieleweke,
    Thank you sister Woman of christ,

  2. Umenigusa upande wa kiuchumi Nina mpango wa kuanza kufuga ili nikuze uchumi na maendeleo katika familia yangu

  3. Asante kwa somo hili zuri. Nimelifuatilia vizuri na nimeweka maazimio yangu vizuri kuliko awali. Nimeyapanga na naamini Mungu atanisaidia kuyatimiliza.
    Stay blessed

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s