Mume…!

Attention Husbands..!!!

1 PET. 3:7
“Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.”

Biblia inasema kuwa wanaume waishi na wake zao kwa akili maana ni vyombo dhaifu, neno hili limetafsiriwa kwa namna nyingi ila hapa naongelea jinsi ambavyo mwanamke hutumia hisia zake zaidi kuangalia mambo na hivyo ni rahisi sana kuumizwa kihisia kama mumewe asipokaa naye kwa akili. Wanaume wengine wanajisahau wanadhani jinsi wao wanavyochukulia mambo kirahisi na kutafuta jinsi ya kufix ndivyo na wake zao walivyo. Hali hii imesababisha wanaume wengi kuwaumiza wake zao na mbaya zaidi hawaoni kama wamewaumiza.

Mwanamke anapokuwa ameumizwa kwa kujirudia rudia bila kupata ufumbuzi huwa na tabia ya kuufunga moyo wake ili kuuzuia usiumizwe tena na hivyo hujikuta aki withdraw na kujitenga na mambo yanayohusisha emotion kwenye ndoa yake na hali hii husababisha kukosekana kwa intimacy kati ya wanandoa. Mume unauwezo na nafasi kubwa ya kumsaidia mkeo katika kutafuta uponyaji wa hisia zake na kumrejeza kama mwanzo.

1. Kuwa karibu naye, mhakikishie kila saa kila wakati kuwa unampenda, unamjali, utasimama naye kwa kila hali na muonyeshe kwa vitendo.
2. Usijaribu ku justify makosa au matendo ambayo yamemkwaza, na kufanya kuwa ni yeye amesababisha.
3. Be romantic, mtengenezee kikombe cha chai jioni mkiwa nyumbani, mnunulie maua, mweleze alivyomuhimu kwako, mtoe out for romantic dinner, n.k
4. Mpe muda huku ukiendelea kumuonyesha upendo, kujali na uwepo wako. Usimlazimishe kwa maneno au vitendo ku heal haraka kama unavyotaka wewe.
5. Kubwa kuliko yote muombee sana, katika maombi yako yote maana emotional wounds huchukua muda sana kupona.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s