Mwanandoa: Samehe!

Mwanandoa: Pale mwenzi wako anapokukosea kosa linalokuumiza sana, anapokutenda jambo ambalo hukutarajia na ni gumu sana kwako, hapo unapoona kuwa kila mtu atakuelewa kama ukiamua kuachana naye, unapoona unayo kila sababu ya kumlipizia, na unapoona kuwa huwezi kusamehe HAPO NDIPO UNAPASWA KUSAMEHE!!!

Kusamehe hakumaanishi kuwa ni rahisi kusamehe, kusamehe hakumaanishi kuwa  maumivu sio makali, hatusamehi kwa hajakukosea, kusamehe hakumaanishi kuwa umechangia kosa kutokea bali KUSAMEHE KUNAONYESHA JINSI UNAVYOMPENDA MWENZI WAKO, KUWA UPENDO WAKO KWAKE NI ZAIDI YA MAKOSA YAKE NA KUWA UNAMUANIMI MUNGU KUSHUGHULIKA NAYE NA KUMBADILISHA KABISA. Mwanandoa SAMEHE, haijalishi maumivu ni makali kiaso gani, amua kusamehe, na muombe Mungu akusaidie uweze kuachilia na kusahau kabisa maana ni kwa neema yake tu.

Advertisements

One thought on “Mwanandoa: Samehe!

  1. Umesema kweli dada na hakika nimekuelewa. Lakini je ikiwa mfano umemsamehe kabisa zaidi ya mara tano na anarudia kosa lile lile la mfano kutokuwa muaminifu utafanyaje?.maana saa nyingine ni kama vile anahisi nikikosa tena atanisamehe tu huyu maana ndio zake kusamehe….je ni namna gani (njia gani) unaweza msamehe mtu anayerudia kosa lile lile na kumsamehe huko kuwe kama funzo asirudie tena?wengine tu wepesi wa kusamehe lakini wengine wanaona kusamehewa mara nyingi ni tiketi ya kurudia kosa lile lile lenye hatari kama uzinzi!

    Joe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s