Tuombeane

Tunahitaji kuombeana kila wakati, tunapitia mengi ya kukatisha tamaa na kutufanya kulegea katika safari yetu ya kwenda mbinguni. Jenga tabia ya kuwaombea wengine na sio kuwahukumu kwa yale wanayotenda, kila mmoja anatamani kumpendeza Mungu lakini kwa akili zetu hatuwezi bila msaada wa Mungu. Chukua dakika chache kila siku kumuombea mtu mmoja Mungu ampiganie na kumsaidia kuishi maisha matakatifu na kushinda majaribu yote.

EBR. 13:18, 21
“Tuombeeni; maana tunaamini kwamba tuna dhamiri njema, tukitaka kuwa na mwenendo mwema katika mambo yote. awafanye ninyi kuwa wakamilifu katika kila tendo jema, mpate kuyafanya mapenzi yake, naye akifanya ndani yetu lipendezalo mbele zake, kwa Yesu Kristo; utukufu una yeye milele na milele. Amina.”

One thought on “Tuombeane

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s