Mungu Anasikia…!

Nikutie moyo wewe uliyekata tamaa ya kupata mtoto, wewe unayedharauliwa sababu hujapata mtoto. Wewe unayeona kama hakuna tena tumaini la kupata mtoto. Katika maumivu, kilio na uchungu wako tambua kuwa Bwana hajakuacha. Haijalishi unapitia nini, bado yeye ni Mungu wako na anakuwazia mema.

Umekata tamaa maana kila ukibeba mimba inatoka, kila ukijifungua inakuwa bahati mbaya. Usikate tamaa, usiache kumuangalia Mungu. Wana wa Israel waliishi katika mateso kwa muda mrefu na Bwana akasikia kilio chao na kushuka kuwaokoa. Nawe hakika Bwana anasikia kilio chako na atashuka kukusaidia na kukufuta machozi.

Simama na mistari hii:
MIK. 7:7
“Lakini mimi, nitamtazamia BWANA; nitamngojea Mungu wa wokovu wangu; Mungu wangu atanisikia.”

Advertisements

2 thoughts on “Mungu Anasikia…!

  1. BWANA YESU, nasia umebariki, umeponya, umewabadilisha na kuwapa neema yako, wengi. Usinipite Mwokozi, unizuru na mm.Unisemehe unibadilishe na unishindie jaribu hili.

  2. mungu habagui umuombao anasikia ila anatoa kwa wakati wake hawai wala hachelewi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s