Mhitaji Roho Mtakatifu

Habari za jumapili wapendwa. Tutafute sana kujawa na Roho mtakatifu, ni yeye atakayetuwezesha kusimama kwa uaminifu na Mungu wetu. Omba Mungu asikupite anapomwaga Roho wake mtakatifu kwa wanadamu.

YOE. 2:28-29
“Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume kwa wake, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono; tena juu ya watumishi wenu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile, nitamimina roho yangu.”

Imba nami wimbo huu:
“Nafsi yangu yakutamani
Roho yangu yaona kiu
Kama ayala atafutavyo maji ya mto
Baba, nafsi yangu yakutamani

Nijaze Roho mtakatifu
Niweke karibu nawe
Nirejeshee furaha ya wokovu
Baba, nafsi yangu yakutamani”

Haleluya!!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s