Maombi ya Kufunga 4 April

Tumemaliza robo ya kwanza ya mwaka. Huu ni wakati wa kukaa chini kuangalia mipango yako ya mwaka na kuona kama unamuelekeo sahihi au umesahau mipango yako. Ni wakati wa kuangalia wapi pa kuweka bidii, wapi pa kuendelea na mipango ipi inapaswa kuendelezwa na ipi kusitishwa au kufutwa kabisa.

Kwa sababu hatuwezi peke yetu basi ijumaa hii tutakuwa na maombi ya kumshukuru Mungu kwa yale aliyotuwezesha kufanya, kwa afya na mafunuo mapya na pia kuomba uongozi wake katika robo hii nyingine tukiweka mipango yetu mbele zake na kumkabidhi changamoto tulizokutana nazo hadi sasa.

Kesho nitaweka mistari ya kusimamia katika maombi haya.

3 thoughts on “Maombi ya Kufunga 4 April

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s