Mistari ya Kusimamia Maombi ya Kufunga Leo 4/4

1. Katika kutekeleza mipango yetu tunakutana na magumu mengi sana njiani na mambo ya kutukatisha tamaa. Kumbuka

ZAB. 126:5-6
“Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha.  Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.”

ZAB. 124:1-3, 6-8
“Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Israeli na aseme sasa,  Kama si BWANA aliyekuwa pamoja nasi, Wanadamu walipotushambulia.    Papo hapo wangalitumeza hai, Hasira yao ilipowaka juu yetu  Na ahimidiwe BWANA; Asiyetutoa kuwa mawindo kwa meno yao.  Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.    Msaada wetu u katika jina la BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.”

2. Tumkabidhi Mungu mipango yetu ili aweze kuithibitisha na kuifanikisha sawsawa na mapenzi yake.

MIT. 16:1, 3

“Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.  Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.”

3. Katika mambo yote tunahitaji neema na rehema za Mungu.

EBR. 4:16
“Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s