Inspiration…!

Kwa vijana wote ambao baada ya kushindwa mtihani wa kidato cha nne au sita unaona kama maisha yamefika mwisho. Umekata tamaa na wakati mwingine kumkasirikia Mungu. Nataka nikutie moyo na ushuhuda wa dada mmoja.

Baada ya kufanya vibaya kidato cha nne hakukata tamaa, maana alijua kuwa bado Mungu anamuwazia mema na kuna uwanja mkubwa wa yeye kufanikiwa. Alijiunga na jeshi la magereza na kufanya kazi, baada ya miaka michache akapata nafasi ya kusoma certificate na diploma ya IT kisha akaendelea na kazi magereza. Kutokana na bidii ya kazi akapata tena nafasi ya kuendelea na masomo ya degree ya IT katika chuo kimojawapo cha elimu ya juu.

Sasa amemaliza na alikuwa mmoja wa wanafunzi bora kiasi kwamba alipata na scholarship ya kwenda nje for some time. Kuna sababu nyingi saba za kumfanya mtu kushindwa jambo fulani lakini haimfanyi kuwa mtu wa kushindwa siku zote.  Haijalishi lipi limekukwamisha bado kuna milango mingi sana iliyo wazi. Usikate tamaa wala kupoteza tumaini, bado una nafasi nyingi za kufanikiwa.

Advertisements

One thought on “Inspiration…!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s