Mwanamke Uwe Na Kifua

Mwanamke lazima uwe na kifua. Kifua cha kuweka kutunza mambo yako ya ndani na mambo ya familia yako. Kifua cha kuweza kuchambua kipi cha kutunza, kipi cha kufuta na kipi cha kufanyia kazi. Haifai mwanamke kuwa mwepesi kumweleza kila mtu kila unachokipitia katika maisha yako. Yani kila mtu anakua anajua changamoto zako na mapito yako ya kwenye ndoa na maisha yako.

Kifua cha kutunza siri za ndoa kitampa heshima mume wako na wewe pia katika jamii inayowazunguka. Wengine kila kitu lazima amweleze mama yake, kuna vya kusema na vya kuweka ndani. Vile vile kutokusema Sema habari za ndoa yako kutakupa uwezo wa kutafakari na kumshirikisha Mungu na hatimaye kupata majibu sahihi. Kumwambia kila mtu kutakupa kila aina ya ushauri na badala ya kujenga utakuwa unabomoa.

Advertisements

4 thoughts on “Mwanamke Uwe Na Kifua

 1. ELIMU TUNAPATA
  kiukweli huo ni uropokaji wanawake tupunguze kuropoka haswa wew unaejiita umeokoka kumbuka kua wew ni barua kwa mataifa so barua yako inasomekaje! vibaya? usimuhuzunishe roho wa bwana mpendwa.

 2. Kiukweli tumwogope mungu kama kusema lazima useme, ila wanaume mnatakiwa kuwa na moyo wa mungu mliopewa wakati wa kuumbwa pia usiogope, maana hakuna mwanamke ambaye anaweza kusema bila kuwa na ufahamu nini anasema na nini anatakiwa kushauriwa. Ushauri pia ni muhimu angalia na kutoa siri yenyewe.

 3. Jamani mm Lucy nimeokoka, bado nasema bado, sijaona MUNGU HUUMBA KILA KUNAPOKUCHA, kila siku mungu yupo wapendwa wenzangu, hamjawahi kuona kila kesho ina tofauti yake!!!!!

  Mwanamke jaribu kujichunguza ili uwe JESHI KUBWA, Jeshi kubwa bila kazi wala bado hujafika. Mwanamke wa kirokole raha, unatakiwa uwe mfano na si GUME GUME wala NYAMBIZI.

  Kwani jambo kwa mwenyezi mungu si jambo kubwa rafiki mwone mungu upate mambo.

 4. Ni kweli wanawake wenzangu tunapaswa kuwa na hekima ya ki-Mungu,,ili tuwe ushuhuda kwa ndoa zetu..
  Ahsante sana Women of Christ kwa mafundisho mazuri.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s