Ndoa Hailazimishwi

Lea alikubali kuolewa na Yakobo akijua kabisa kuwa yakobo anampenda rahel na sio yeye. Aliingia kwenye ndoa bila kupendwa, akadhani akipata mtoto atapata upendo lakini haikuwa hivyo. Ukiangalia maana za majina ya watoto wake watatu wa mwanzo utaona kuwa alitafuta sana kupendwa na mumewe lakini haikuwa hivyo maana yakobo hakuwahi kumpenda naye alilazimisha tu kuolewa. Mwanzo 29:32-34.

Ni jambo gumu sana kumlazimisha mwanaume akupende. Usilazimishe kuolewa kwa kushika mimba, shinikizo la wazazi au viongozi wa kanisa n.k maana utaolewa lakini hautaweza kupata upendo wa mume wako maana moyoni mwake haupo. Kuna watu wanajua kabisa kijana huyu anampenda fulani lakini wao wanaweka shinikizo hata kubeba mimba ili tu aolewe yeye, hapo unatafuta maisha ya huzuni siku zako zote.

Yakobo alimpenda rahel na rahel pekee, usiwe Leah kuingilia mapenzi ya watu na kuwaondolea furaha. Msubiri yakobo wako na Bwana atakupatia.

Advertisements

2 thoughts on “Ndoa Hailazimishwi

  1. Hakika mafundisho yako ni mazuri sana mim n mgeni kwa kuchangia lakini nmekua mtembeleaji sana wa hapa,ubarikiwe na Bwana YESU.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s