Kuinuliwa Baada ya Kushinda Majaribu

Shalom
Ayubu alipoweza kuvumilia majaribu yake na kumaliza kwa ushindi pasipo kumtenda Mungu dhambi, Mungu alimkirimia zaidi ya aliyoyapoteza:
1. Alipata mali zaidi na kibali Ayubu 42: 11-12
2. Alibadilishwa na kuwa mtu bora zaidi. Imani yake kwa Mungu iliimarika zaidi. Ayubu 23:10 Ayubu 42:1-3.
3. Uponyaji wa mwili wake. Ayubu 42:10
4. Kumfahamu Mungu kwa utofauti. Ayubu 42: 5. Ayubu 19: 27

Hapa tunajifunza kuwa katika mapito tunayopitia kuna hatua ambayo Mungu atatufikisha kama tukisimama kwa ushindi, usikate tamaa unapipitia majaribu maana tambua kuna utukufu mkuu unakuja utakapovuka kwa ushindi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s