Neno la Asubuhi

Mithali 9.11
Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.

Zaburi 16.11
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako ziko furaha tele; Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele.

1. Siku zitazidishwa
2. Miaka itaongezwa
3. Kuifahamu njia ya uzima
4. Furaha tele
5. Mema ya milele

Zaburi 138.8
BWANA atanitimilizia mambo yangu; Ee BWANA, fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako.
Ubarikiwe

Advertisements

5 thoughts on “Neno la Asubuhi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s