KARIBU KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE

image

Karibu sana kwenye kongamano la wanawake wote na wasichana litakalofanyika Tarehe 12 March Mbezi beach Dar es Salaam..  Hii sio ya kukosa. Ni siku yetu wanawake kufurahi pamoja huku tukijifunza habari za Mungu na maisha ya ushindi ndani ya Yesu.

image

TICKET zinapatikana Posta jengo ya Benjamin Mkapa ground floor ofisi za HSK TECHNOLOGIES
Ubungo opposite na mataa ya njia panda ya chuo GESA STATIONERY
Na Mwenge JAG shoes karibu na Tamal hotel
Mawasiliano 0653483053

Advertisements

3 thoughts on “KARIBU KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE

  1. Asante mpendwa

    Sent from my Huawei Mobile

    Women Of Christ wrote:

    > a:hover { color: red; } a { text-decoration: none; color: #0088cc; } a.primaryactionlink:link, a.primaryactionlink:visited { background-color: #2585B2; color: #fff; } a.primaryactionlink:hover, a.primaryactionlink:active { background-color: #11729E !important; color: #fff !important; } /* @media only screen and (max-device-width: 480px) { .post { min-width: 700px !important; } } */ WordPress.com womanofchrist posted: ” Karibu sana kwenye kongamano la wanawake wote na wasichana litakalofanyika Tarehe 12 March Mbezi beach Dar es Salaam..  Hii sio ya kukosa. Ni siku yetu wanawake kufurahi pamoja huku tukijifunza habari za Mungu na maisha ya ushindi ndani ya Yesu. “

  2. Nashukuru Mungu kukutana nanyi Women of Christ nikiwafahamisha furaha yangu na ombi langu kwenu ni kupewa ukubali wa kutumika nanyi kwa ushirika.Naishi DRC,kwa mtaa wa Uvira ambako nafanya kazi mbalimbali za amani na maendeleo katika programs tofauti ambazo moja yazo ni mama na mtoto.Tufuate kwa facebook: Fidele Zihalirwa au Ympd Uvira.Mengine mengi tutachangia na kuwaeleza kwa upana mkitukubali.Mubarikiwe na Bwana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s