CHALLENGE : SIKU 30 ZA KUMTIA MOYO MUME

NOTE: KATIKA SIKU HIZI 30
1. USISEME NENO LOLOTE BAYA JUU YA MUME WAKO KWA MTU YEYOTE.
2. USIMKATISHE MUMEO TAMAA KWA NENO AU TENDO
3. USILALAMIKE AU KUMLAUMU MUMEO KWA JAMBO LOLOTE. MTIE MOYO NA KUMUELEZA KWA UPENDO.
4. USIMKASIRIKIE WALA KUMNUNIA MUMEO

UKIAMUA KUFANYA HAYA YOTE KWA UAMINIFU KWA MUDA WA SIKU 30 UTANIAMBIA JINSI AMBAYO UTAONA MABADILIKO CHANYA KWENYE NDOA YAKO.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s