CHALLENGE:SIKU 30 ZA KUMTIA MOYO MUME – SIKU YA KWANZA

Je umewahi kumshukuru mumeo kwa kukuchagua na kukuoa wewe miongoni mwa wanawake wengi aliokutana nao? Umewahi kumwambia ulivyo na shukrani kwa Mungu kwa kukukutanisha naye na kuwafanya kuwa mwili mmoja? Haijalishi mangapi mmepitia mueleze mumeo kwa maneno yako kuwa unafuraha kuwa mke wake na utasimama naye siku zote na katika hali zote.

Muambie Nakupenda, Nafurahi kuwa nawe kila anapoamka asubuhi hata kama ulishaacha anza sasa.

Muombee Mungu aulainishe moyo wako uwe kama pale alipokupenda mwanzo, Mungu afufue ule upendo wa kwanza kwa mumeo na akuwezeshe kuachilia yote na kumpenda mumeo kutoka ndani.

Mithali 31:11-12″ Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.

Advertisements

2 thoughts on “CHALLENGE:SIKU 30 ZA KUMTIA MOYO MUME – SIKU YA KWANZA”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s