CHALLENGE:SIKU 30 ZA KUMTIA MOYO MUME SIKU YA PILI

Siku ya kwanza ilikuwaje? Je ulifanikiwa kujizuia kulaumu na kulalamika hata pale ulipoona u lazima? Hongera kwa hilo na kama ulishindwa usijali anza tena leo siku ya kwanza 😊.

Angalia jinsi mumeo anavyojishughulisha kufanya mambo fulani fulani ili wewe uwe na maisha yenye furaha na rahisi. Inawezekana anapeleka watoto shule, anasaidia kufanya homework, anasaidia pale unapokuwa umelemewa na kazi, anakusaidia kimawazo na kukutia moyo, anakusaidia kwenda na wewe shopping, anakuhudumia unapougua n.k.
Yapo mengi ambayo unaweza kuona jinsi ambavyo anajitoa kwa ajili yako. Leo mshukuru kwa vile ambavyo amekuwa msaada kwako na mtafutie kitu kidogo kuonyesha kujali iwe ni kumpiki chakula anachokipenda, kutengenezea juice anayoipenda, kumnunulia bisibisi ambayo ameitafuta muda hajaiona 😀, kumnunulia sandals anazozipenda. ..kitu chochote kidogo kuonyesha asante. Kisha mwambie umefanya hivyo kwa ajili ya asante kwa moyo wake wa kujitoa kwako.

Omba Mungu akuwezeshe kuona pale mumeo anapojitoa kwa ajili yako na uweze kuthamini kujitoa kwake na kumtia moyo. Omba Mungu amuwezeshe kuona uhitaji wako na kukusaidia na kukutia moyo kila wakati.

….bali tumikianeni kwa upendo.
GAL. 5:13b

Advertisements

One thought on “CHALLENGE:SIKU 30 ZA KUMTIA MOYO MUME SIKU YA PILI”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s