JINSI YA KUWEKA MIPANGO YA MWAKA

Ufuatao ni mtiririko wa maswali ambayo yatakusaidia kuangalia na kukagua maisha yako na kupanga mipango yako kwa ajili ya mwaka huu. Jibu maswali haya kwa uhakika huku ukifikiria jinsi ya kuboresha maisha yako. A: MALENGO BINAFSI 1. Ni Tabia gani nzuri ambazo kujijengea mwaka huu na hatua gani unapanga kuzichukua kufanikisha hilo? 2. Utafanya nini kuhakikisha kuwa unasimamia malengo yako bila kusukumwa? 3. Unapanga kujifunza kitu gani kipya mwaka huu? 4. Vitabu gani unapanga kuvisoma mwaka huu? 5. Je unaifurahia kazi yako? Ni nini kimakufurahisha zaidi au kinakukera zaidi kwenye kazi yako? B: AFYA NA MUONEKANO 1. Ni jambo gani … Continue reading JINSI YA KUWEKA MIPANGO YA MWAKA

Semina Maalumu Kwa Vijana wa Kiume

Blog hii kwa kushirikiana na Devine Events tumeandaa semina maalumu kwa ajili ya vijana wa kiume. Kumekuwa na semina nyingi sana kwa ajili ya wasichana ila vijana wa kiume wamekuwa wanasahaulika kila mara. Sasa wakati wenu umefika utapata wasaa wa kufundishwa na walimu waliobobea katika ujana na mahusiano na pia kutakuwa na muda wa kutosha kuuliza maswali na majadiliano. Usipange kukosa maana utajifunza mengi na hakuna kiingilio no bure kabisa. Kanisa lipo mkabala na mataa ya kwenda Chuo kikuu ubungo utaona bango limeandikwa Lighthouse Pentecostal Holiness mission. Karibu sana na Mungu akubariki. Kwa mawasiliano yoyote piga namba 0653483053 Continue reading Semina Maalumu Kwa Vijana wa Kiume