About

momson1Am a born again christian woman, a wife and a working mother.

60 thoughts on “About

  1. Mungu akubariki sana servant of God, this is ol educational, inspirational and spritually fulfilling. asante sana kwa kazi hii.

  2. Utukufu kwa Mungu! Kazi nzuri sana, tunajifunza. Neema yake isikupungukie.

  3. Dear Mate, ahimidiwe Mungu aliyekuwezesha kupata maono haya ya kuanzisha huduma hii , wengi watajifunza,wanajifunza, wamejifunza, pia unawafikia wengi kirahisi, Bwana awe nawe pia
    Daniel Alex.

  4. kweli kazi yako nzuri mtumishi,umeleta uamsho katika maisha yetu kwa habari ya kiroho,ndoa,familia na mengine mengi,MUNGU akubariki kwa utumishi huu mzuri!

  5. Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri , am also a working mother of two, not born again but a believer

  6. I recommend that this site be visited na watu wote wanaoishi duniani.UMEBARIKIWA

  7. yaani sijui kwa nini sikuifahamu siku zote hizo. jamani tujuzane vitu vizuri kama hivi. Nabarikiwa sana ndugu, ubarikiwe na Mungu akupe ufahamu na mafunuo zaidi

  8. yaani sijui kwa nini sikuifahamu siku zote hizo. jamani tujuzane vitu vizuri kama hivi. Nabarikiwa sana ndugu, ubarikiwe na Mungu akupe ufahamu na mafunuo zaidi, jamani daniel initiative hujaiweka hii kwenye links zako.

  9. You are a blessing to me my sister, I thank God for what you are doing in his kingdom, may my God almighty bless you.

  10. Shalom,nimefurahi sana kuingia na kusoma yote yaliyomo kwenye blog hii,naweza kusema ni utukufu w aMungu muweza yote ndio unazidi kuonekana katika maisha yangu,maana ndani ya siku hizi mbili nakuwa napata blog nzuri zenye mafundisho mazuri ya Mungu,bwana akubariki na azidi kukutia moyo,mimi nimeokoka,na natamani kila cku nizidi kusimama imara katika imani yangu,tafadhali ningependa kama ningeweza kupata hata namba yako ya simu,ili uweze kuwa unanisaidia zaidi kukuwa katika imani yangu,nahitaji mtu wa kuwa nabadilishana nae mawazo juu ya utukufu wa Mungu,Bwana akubariki na uizid kuitenda kazi yake vizuri,nitwa Maria,nitafurahi sana kama utanijibu.Amen

  11. kazi nzuri mtumishi songa mbele na Bwana aendelee kukupa neema na hekima za ki Mungu katika huduma hii, kazi njema!!!!!!

  12. This is a Seed, hautaacha kuvuna unachopanda, fanya kazi yake aliyekutuma kwa moyo…

  13. Jamani hongera sana kwa kazi hii ya Mungu unayoifanya kwa kweli nimeipenda hii blog sana imenifunza meengi sana. Zidi kubarikiwa na kuinuliwa katika kuitekeleza kazi ya Bwana.

    God Bless You.

  14. Mimi ni mama Mchungaji napenda kutoa shukrani nyingi kwa jinsi mnavyoelimisha watu.

  15. praise God,iwould like to be amember on your organization tell me what to do, mrs swai

  16. hello maggie,im truly blessed by this website,and i would like to have a copy of the Prayer journal (in His presence),i live in Tanga,i dont know how i can access it..
    bless u

  17. kwa kweli dada unanipa matumaini, umenisaidia kujua jinsi ya kusali, na maombi ya weekend hii yamenigusa sana. Be blessed

  18. J.D.Moriah, ni katibu wa chama cha vijana kijulikanacho kama ELISHADAI MINISTRY ambacho bado ni kidogo kihuduma lakini tunatafuta rafiki katika KRISTO YESU ambawo kwa pamoja tuweze kuliviringisha gurudumu hili la machafuko kulisafisha kwa neno la Mungu wetu aliye mkuu.

  19. Asante mtumishi wa Mungu kwa vitu vizuri sana vya kutufanya wamama bora zaidi. Kwasababu nimeijua blog leo, Nina kazi kubwa ya kupitia article zooote, zoote zinaonekana kuwa na ujumbe. Ubarikiwe!

  20. Karibu sana Ester, Mungu akuhudumie unapopitia article moja baada ya nyingine. Waeleze na rafiki zako kuhusu blog hii

  21. Mungu awabariki sana vitu kama hivi tulizoea kuona kwa wenzetu lakini leo mmetukumbuka sisi wenzenu kwa kuanzisha blog yenu.

  22. Nabarikiwa sana kila ninapopita hapa, Mungu azidi kukupa maarifa ili tuzidi kujifunza kuishi kama apendavyo…

    Ubarikiwe sana!

  23. Amen. Ukisearch hapo juu ratiba ya chakula na orodha ya manunuzi utavipata. Karibu

  24. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,WomanofChrist – Kazi nzuri unayofanya. Mungu azidi kukupa upako na hekima zaidi uli uzidi kulisha kondoo!

    Olive.

  25. Ninakupongeza sana kwa juhudi
    na maono lyako kwa kuanzia blog hi ya kuunganisha wamama ,wadada,wasichana nawabibi walio ndani ya Yesu mungu akuongoze na akupe mafunuo ili mwili wa Kristo ujengwe
    niko pamoja nawe na ninakutakia ushindi katika damu ya Yesu . Naongea kama mtumishi wa Mungu kwamba Mungu atakufungulia mlango mkubwa ambao hukutegemea Kwa Jina la Yesu Kristo

  26. Dear women of Christ,I thank God who has called u and who has entrusted u his ministry and who has called u.please can I get your contact.I have been blessed by your work.thank u in Advance.

  27. Mtumishi wa Mungu, Ubarikiwe sana pamoja na kwamba sijapata majibu ya maombi yangu – naamini kabisa Mungu wangu hataniacha. Amina

  28. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mdogo wangu aliumwa sana mwaka jana nikakuletea maombi yangu kwako ukanielekeza jinsi ya kuomba. Namshukuru Mungu alipona na yupo mzima kabisa. Ubarikiwe sana

  29. Nimekuja hapa kukushukuru na kukuombea mema. Nashukuru Mungu kwa kazi yako, na naomba akutangulie daima, na usichoke kutuelimisha. Nimefarijika na kuelimika vilivyo na blog yako ya “Unawezaje Kuwa na Mawazo Safi?” UBARIKIWE!

  30. Shaloon MUNGU awabariki napenda kujiunga na maombi ya usiku namba ya ngu ni 0784461655

  31. hii ni kati ya website nzuri nilizowah kutembelea ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri na topic nzuri

  32. Woow hongera sana Mjoli wa Bwana. Hakika kazi hii si bure..
    binafsi inanikuna na kuvusha hatua na hatua.

Leave a comment