Mapitio ya Vitabu

Shalom
Kutakuwa na ukurasa mpya wa mapitio ya vitabu mbalimbali vya kikristo kuhusu mambo ya mwanamke kuanzia utumishi, malezi, ndoa, mahusiano binafsi na Mungu nk. Ningependa wote tushiriki kujifunza kwa pamoja kutoka kwenye vitabu mbalimbali ambavyo nimefanikiwa au wewe umefanikiwa kuvisoma.

Kwa kuanzia tutaanza na kitabu cha The Power of a Praying Parent, mapitio haya yatakuwa kwa lugha ya kiswahili. Mungu akubariki tunaposhiriki pamoja katika hili.